Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Atakuwa anaruka sana kuta kwenda kula watoto wa geti kaliFyucha baharia [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa anaruka sana kuta kwenda kula watoto wa geti kaliFyucha baharia [emoji16][emoji16]
Kweli mkuu, vitu vingine ni bora hata usijue. Ukujua ndio mwanzo wa kufa kwa msongo wa mawazo. Cha msingi nidhamu iwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120]Mungu atupe usiku mwema
Whaaaat huyu bwana kucha bana msimu huu pep kawavuruga balaa mpaka anaona uvivu kushinda humuHaha, Ulaya tena? Kijana wako kanitelekeza huku matopeni[emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unasubiri mpaka mwenyewe atakapokuonea huruma na kukunong'oneza "Fanya pole pole. Bado sijapona vizuri...". Yaweza kuwa baada ya wiki moja, wiki mbili, wiki tatu.....
[emoji23][emoji23]nimecheka tu maana wanaume hawaelewi hapa. Na ukute mwanamke kajifungua kwa kuongezewa njia uwiii hio wiki mbili au tatu hazitoshi na wakilazimisha njia inatatuka matokeo ya bwawa bila kutarajia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poti banaLeo tunatembea kwa kunyata humu. Numbisa ameonekana mitaa hii? Mimi, shaaah! 😀🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Yule Mou Mlugaluga tu. Ile timu yetu mbovu tu mwaka huu. Ni kama Stand United tu Season hii! 😀 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poti bana
#moukibokoyapep
Halafu likiwa bwawa wanaanza kulalamika...mimi baba nanihii nikimhurumia sana nitakuwa nampa baada ya miezi mitatu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23]nimecheka tu maana wanaume hawaelewi hapa. Na ukute mwanamke kajifungua kwa kuongezewa njia uwiii hio wiki mbili au tatu hazitoshi na wakilazimisha njia inatatuka matokeo ya bwawa bila kutarajia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu likiwa bwawa wanaanza kulalamika...mimi baba nanihii nikimhurumia sana nitakuwa nampa baada ya miezi mitatu [emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Serious?Halafu likiwa bwawa wanaanza kulalamika...mimi baba nanihii nikimhurumia sana nitakuwa nampa baada ya miezi mitatu [emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 😀 😀Kama timu yenu unaiweka kundi la stendi utd je ya kwetu uwiii isiwe ya mchangani kwao Davet [emoji23][emoji23]
Jirani, taratibu. 😀😀