Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
King yuko mafichoni anagangamala ufalme usiyumbe....Kweli usamehe sasa ohooo !!!
Wapi King?
Mambo zako hizi[emoji2]
Mambo zako hizi[emoji2]
Haha hii picha dah,
Hahahah, Yani wewe kiboko[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] wakati mwingine natengeneza mwenyewe mazingira ya kukerwa halafu nakereka kwelikweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumapili yangu iko poa kabisa. Umenikumbusha mama mmoja wa kichaga alitufundisha biology form four, siku moja sikumbuki alikuwa anaongelea nini wadau wakauliza hilo swali akajibu kiafya inatakiwa upite mwezi mmoja ila mimi nikiona niko vizuri mume wangu huwa nampa kabla ya huo mwezi, sasa aende wapi[emoji16][emoji16][emoji16] na lafudhi ile ya kichaga watu tulibaki hatuna mbavuSoma vizuri basi bana uelewe.......
Jumapili inamalizikaje?
Kweli mkuu, vitu vingine ni bora hata usijue. Ukujua ndio mwanzo wa kufa kwa msongo wa mawazo. Cha msingi nidhamu iwepo.We ni kama mimi bro. Siji kufa kwa presha eti kisa mtu kaenda kupigisha mbunye yake huko. Akaipigishe tu lakini ahakikishe asiniletee magonjwa miye na ikiwezekana sana nisijue. Uhuru ni ghali !!!
[emoji1547][emoji1547][emoji1547]