Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
😂 😂 😂 😂
Aisee...Chanjo hii ilikuwa inapigiwa chapuo sana lakini imefeli. Wanasema hiki ni kidudu janja na kinajibadilisha badilisha kila leo (mutation). UKIMWI UPO ...NA UNAENDELEA KUUA [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1346195
Hii mambo ya siasa bwana...............
Ana mke mrembo kweli
Acha wapige hela....hakuna kingine !!!
Hee haujui na ndoa ya mkeka juu huku bradha akipigwa mkwara asisogee kabisa hata salamu marufukuKwani Mfilisi nae kishapata mwenza hapa?
Hahah! Maisha yapo kasi sana
HahahahaMfilisti aliponea chupuchupu kwa sababu ustaadh alikuja kivingine kabisa. Na tangu wakati huo naona kubebishana na bebi wake kumepungua...Si ajabu ustaadh huko aliko bado anasoma visomo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwan yeye messi au ronaldo apambane banaWanataka muda wote Mpira apewe Samata tu..... hahah!