moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
bro shemeji yako anatema mate tu huku ndio maana hata jukwaani tumepotea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba kitanda hakizai haramubro shemeji yako anatema mate tu huku ndio maana hata jukwaani tumepotea
Asante.. ntakuja mwezi mtukufu π π π
Una amini hayo mavazi ni sahihiMavazi hayana shida
Asante.. ntakuja mwezi mtukufu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndoa takatifu unaita ya mkeka?
Hatimaye leo umeweka picha
Mimi sijui lolote juu ya hii taarifa kwakweli, kwani huyo mwenzi wake ni nani?Hee haujui na ndoa ya mkeka juu huku bradha akipigwa mkwara asisogee kabisa hata salamu marufuku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bradha ana kazi jamaniMimi sijui lolote juu ya hii taarifa kwakweli, kwani huyo mwenzi wake ni nani?
Ila nimefurahi alivyompiga marufuku Bradha
ππ tusubiriKwamba kitanda hakizai haramu
Pole mpendwa ππππ tusubiri
pole au hongeraPole mpendwa ππ
Hivi Ayyana I'd yake kongwe ni ipi sio Depal kweli ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bradha ana kazi jamani
Anaitwa ayyana
Hatimaye leo umeweka picha