Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kaka nilikuwa sijakuelewa Zurri, nilidhani ananiita mimi mke wa mtu kama jina langu.
Leo hela ya mboga nimenunulia maembe....@mfilisti kashinda njaa

Ina maana mfilisti alikuwa anatufunga kamba? Kwamba si ndoa tu bali tayari eti mpaka unatema tema mate hovyo, kula udongo pamoja na maembe mabichi? Dah !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…