Ayyanna
JF-Expert Member
- Jan 5, 2020
- 397
- 2,648
Shemeji unataka hela? Nikuletee?
Mfilisti kwani yupo homu sasa hivi?
Nakijua vizuri mno.Unajua unachotaka @Zurri?
Usiku wa kupeana burudani
Duuh hawa ndugu zetu ni ngumu sana kuwaelewa mental yao..They like bad boys...we know....
View attachment 1346520
Niweke nione peke yangu kaka
Mtandaoni humu everesingi izi posibo...
Kuna baharia nimemuona mahali anatoa ushahidi kuwa alishatongoza mademu watatu humu baadaye akaja kugundua kuwa eti zote zilikuwa ID za mtu mmoja.
Kumbe tuko wengi ambao hatutaki kupachikwa huu ukaka usio na kichwa wala miguu? Safi sana [emoji16]
Nitaitakasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Na mimi siyo kijana. Ni mzee kabisa aisee....
😂😂 hata me nasikia sikiaHahahaha.
Inadaiwa unamiliki watu wawili tofauti hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kama sio Ostadh kipezeo sijui una elimu ya dini ila sasa (joke)
Ukaka kwangu bado upo, maana mahari ulipokea wewe
Wanataka tusiwatongoze. Japo seipendi kuitwa kaka ila ukiniita kaka haizuii nisikutongoze nikitaka nakutongoza tu ili ukaniite kaka vizuri.