Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akimaliza hapo, Machi 21, Liverpool watakuwa Anfield kucheza na Crystal Palace na kama atakuwa wameshinda mechi zao tano zilizotangulia, mechi hiyo ya Palace itakayopigwa Anfield itakuwa ya kutangaza ubingwa.
 
Lakini, Liverpool hadi sasa tayari wameshaweka pengo la pointi 22, kitu ambacho Liverpool itajitaji kushinda mechi sita tu kutangaza ubingwa na kama watanikiwa kushinda mfululizo kwenye mechi sita zijazo kwa maana ya Norwich, West Ham, Watford, Bournemouth, Everton na Crystal Palace.
 
Wamemfuta kazi Unai Emery, lakini makocha wote wawili waliofuatia baada ya Mhispaniola huyo kufunguliwa mlango wa kutokea, Freddie Ljungberg na Mikel Arteta, hakuna hata mmoja aliyeshinda zaidi ya mechi moja.
 
Kwa maana hiyo, tangu alipoondoka Emery, Arsenal imecheza 12, lakini imeshinda mara mbili pungufu ya zile alizoshinda Mhispaniola huyo, huku ndani ya muda huo, Arsenal imetoka sare mara saba na kuchapwa mechi tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…