Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Napenda sana hawa ndege
Mpendwa Hawachi unafuga au upo Zoo?
Kuna kipindi nililetewa ila niliwagawa kwasababu nawahurumia kuwafungia muda wote wanakosa uhuru, bora wangekua kama Njiwa unawaacha watembee baadae wanarudi nyumbani....Nami pia nilipowaona nilifuruhi mno View attachment 1347455
Nyumbani tulikuwa na kasuku nilikapenda kweli walikaiba.Kuna kipindi nililetewa ila niliwagawa kwasababu nawahurumia kuwafungia muda wote wanakosa uhuru, bora wangekua kama Njiwa unawaacha watembee baadae wanarudi nyumbani....
Hichi ni nini mpendwa au Kinyonga?Nafuga mpendwa
View attachment 1347473
Kinyonga mpendwaHichi ni nini mpendwa au Kinyonga?
So sad..... poleni sanaNyumbani tulikuwa na kasuku nilikapenda kweli walikaiba.
Duuh! Hafai kufugwa huyo anatisha pia havutii kabisaKinyonga mpendwa
Kwa kweli anaogopesha hasa akizungusha macho yake kutizamaDuuh! Hafai kufugwa huyo anatisha pia havutii kabisa