D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Ndioo na nyoka mpendwa π
Kila mwenye subra hakika yupo pamoja na AllahKama bado unahema na Afya ipo vizuri basi habari ni nzuri kabisa, hayo mengine yanaendelea kupambaniwa tu ni swala la muda Chief .....
#InnaLahMaswabrinah
na chatu pia fugaNdioo na nyoka mpendwa π
subira subira huozesha ndizi.Kila mwenye subra hakika yupo pamoja na Allah
mbona hujamshika masikio yakeNafuga na Simba pia karibu
Salaam Ayyanna
Hiyo picha nilikaa mbali mno nikasogeza camera aje karibu πππmbona hujamshika masikio yake
Nadhani ni 55 km sikoseahappy birthday mjomba wake davet, cole williams.
ametimiza miaka 35 ya kuzaliwa.
hivi CCM wametimiza miaka mingapi siku ya leo
View attachment 1347521
mfugaji wewe bado huna uzoefu wa kuishi pamoja na simbaaa...Hiyo picha nilikaa mbali mno nikasogeza camera aje karibu πππ
miaka 43...Nadhani ni 55 km sikosea
Hahah! Hii picha kali mno pia kuna mtu itamfurahisha sanazipo nyingi nimeziona ila ile imenivutia zaidi...... nyengine hii imenivutia.
huyu mzee huenda wazazi wake walitokea umasaini
View attachment 1347581
Mzima
Kupata vichekesho kama hivi bonyeza.... πππmfugaji wewe bado huna uzoefu wa kuishi pamoja na simbaaa...
sisi wengine tunalala nao pamoja
Eee Rabbi endelea kutumia njia ndefu ya kutufikia waja wako hapa duniani ili tuendelee kuufaidi uumbaji wa Rabana kwa hawa wa ubavu wetu [emoji120]