Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Na mlivyo hamkomi kuna mwingine nae atapigwa pesa πππKwenye uongo wa aina hiyo pia kuna ukweli.
Usidhani ni uongo mtupu, ukweli pia umo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mlivyo hamkomi kuna mwingine nae atapigwa pesa [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi pesa zimeenda wapi jamani. Mbona kila mtu hana?
Zipo Central Bank.
Juzi nilipita hapo niliziona zipo kibao[emoji23][emoji23][emoji23]
Binafsi huwa Siamini maana jf mada za kupigwa wanaume pesa ni nyingi why watu hawajifunzi leo kuna mada hii baada ya wiki italetwa nyingine ni kwamba mna masikio ya kenge mpaka yatoke damuNguvu ya kipochi haijawahi acha mtu salama.
Watu wapo tayari kubahatisha ili angalau apate matumaini ya kupata kipochi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kulikuwa na ile pen inaitwa bomba 4. Ina nyekundu, nyeusi, blue, na kijani
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππ. Daah!Fote imepotezwa, huenda aliyekula ni kidume tu aliyejifanya demu.
Jamiiforum mambo ni mchakamchaka[emoji23][emoji23][emoji23]