Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Takwimu za makipa

Mtu mwingine muhimu zaidi uwanjani, Kipa ndiye mstari wa mwisho wa ulinzi, pale ambapo timu nzima ikiwa imezidiwa na kuachwa ni jukumu la kipa kuhakikisha mpira haugusi nyavu zake, lakini msimu huu takwimu zao muhimu ziko hivi;-
 
Ingia mtaani utafute mali, nchi tajiri hii ukibaki masikini ni uvivu wako tu[emoji23][emoji23].
Mzee wa upako alisema nchi hii ukifa masikini eti we ni fala tu...

Halafu baada ya muda akaanza kulalamika siku hizi watu hawatoi sadaka kwa wingi kama zamani kiasi kwamba uchumi wake umetetereka kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom