Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya tuingilie fani ya mfilisti. Hii picha ina kasoro gani?
IMG_20200206_151709.jpg
 
Hii ni mara ya kwanza, EPL kusimama kwa ajili ya mapumziko msimu ya baridi, lakini wakati zikiwa zimesalia mechi 13 kabla ya ligi kuisha, bingwa wa ligi hiyo anaonekana kujulikana maana ni ngumu kuamini kuna timu ya kuizuia Liverpool kutwaa taji hilo kwa mara ya kwanza tangu ianzishwe mwaka 1992.
 
MABAO
Jamie Vardy (Leicester) 17

Sergio Aguero (Man City) 16

Aubameyang (Arsenal) 14

Danny Ings (Southampton) 14

Marcus Rashford (Man United) 14

Mohamed Salah (Liverpool) 14

Tammy Abraham (Chelsea) 13

Raul Jimenez (Wolves) 11

Harry Kane (Spurs) 11

Sadio Mane (Liverpool) 11
 
Pasi za mabao

Kevin De Bruyne (Man City) 15

Trent Alexander- Arnold (Liverpool) 10

Roberto Firmino (Liverpool) 7

Emiliano Buendia (Norwich City) 7

Riyad Mahrez (Man City) 7

David Silva (Man City) 7

Son Heung-Min (Spurs) 7

Adama Traore (Wolves) 7
 
Mashuti

Mohamed Salah (Liverpool) 85

Raul Jimenez (Wolves) 81

Roberto Firmino (Liverpool) 77

Marcus Rashford (Man United) 74

Tammy Abraham (Chelsea) 72

Kevin De Bruyne (Man City) 71

Neal Maupay (Brighton) 71

Raheem Sterling (Man City) 68

Teemu Pukki (Norwich City) 66

Sergio Aguero (Man City) 64
 
Mashuti yaliyogonga mwamba

Marcus Rashford (Man United) 6

Sergio Aguero (Man City) 4

Kevin De Bruyne (Man City) 4

Gerard Deulofeu (Watford) 4

Danny Ings (Southampton) 3

Raul Jimenez (Wolves) 3

Nicolas Pepe (Arsenal) 3

Mohamed Salah (Liverpool) 3

Son Heung-Min (Spurs) 3

Raheem Sterling (Man City) 3
 
MABAO
Jamie Vardy (Leicester) 17

Sergio Aguero (Man City) 16

Aubameyang (Arsenal) 14

Danny Ings (Southampton) 14

Marcus Rashford (Man United) 14

Mohamed Salah (Liverpool) 14

Tammy Abraham (Chelsea) 13

Raul Jimenez (Wolves) 11

Harry Kane (Spurs) 11

Sadio Mane (Liverpool) 11
Salah au Aubameyang anaweza kubeba kiatu, kama Vardy hato cheza match za kutosha zilizobaki.
 
Unaweza kuwapanga foleni wavulana wanaotafuta matibabu ya kipochi na wote ukawapiga na wasikome.[emoji23][emoji23]
Nina mashaka huwenda kuna uchawi kwenye pochi.
Wanaume ni wepesi sana kuwekeza kwa ajili hicho kitumbua. Wenyewe hawakomi kubet kwa ajili ya kitumbua [emoji23][emoji23]
Binafsi huwa Siamini maana jf mada za kupigwa wanaume pesa ni nyingi why watu hawajifunzi leo kuna mada hii baada ya wiki italetwa nyingine ni kwamba mna masikio ya kenge mpaka yatoke damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom