Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Alafu wewe bhana πHaya tuingilie fani ya mlifisti. Hii picha ina kasoro gani?View attachment 1348423
King na queen jamanii si mjibu hahahaAlafu wewe bhana π
Namuachia queen ajibu πKing na queen jamanii si mjibu hahaha
Kakimbia 5555Namuachia queen ajibu π
Toa basi jibu inlaw ake
Kucha haipo kwenye kidole cha pete π πToa basi jibu inlaw ake
Mzee wa upako alisema nchi hii ukifa masikini eti we ni fala tu...Ingia mtaani utafute mali, nchi tajiri hii ukibaki masikini ni uvivu wako tu[emoji23][emoji23].
ππ Anakimbia majukumu ninayompa? Atarudi tuKakimbia 5555
Majukumu mazito 555ππ Anakimbia majukumu ninayompa? Atarudi tu
Fote inauma...[emoji16][emoji16][emoji16]Si kuona amefuta hata hivyo ni utoto.
Hawataki kuiga njia unayotumiaga wewe πFote inauma...[emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu anajifanya eti alikuwa hana hata mpango wa kumtafuna huyo binti wakati keshatafuta mpaka accommodation kwa siku mbili. Mabaharia bana [emoji23][emoji23]