Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwenye mbunye Muumba wanaume alituweza kwa kweli dah !!![emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Nguvu ya kipochi haijawahi acha mtu salama.
Watu wapo tayari kubahatisha ili angalau apate matumaini ya kupata kipochi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Huyo mbwa naye boya tu [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂😂 JamaniNguvu ya kipochi haijawahi acha mtu salama.
Watu wapo tayari kubahatisha ili angalau apate matumaini ya kupata kipochi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Huwezi kuelewa hata siku moja. Hicho kichwa cha chini kikiteki ova kichwa cha juu kinazima [emoji16][emoji16][emoji16]Binafsi huwa Siamini maana jf mada za kupigwa wanaume pesa ni nyingi why watu hawajifunzi leo kuna mada hii baada ya wiki italetwa nyingine ni kwamba mna masikio ya kenge mpaka yatoke damu
Namuaminia lazima atajibu tu labda sio Queen nimjuae mimi 😁Majukumu mazito 555
Namuaminia lazima atajibu tu labda sio Queen nimjuae mimi 😁
Ma legends tu ndiyo tutaelewa. Kuna kidole kimoja hapo hakina kucha.....[emoji16][emoji16][emoji16]Haya tuingilie fani ya mfilisti. Hii picha ina kasoro gani?View attachment 1348423
The Don Ngosha himuselfu....
Hahahahaa king na queen wamekwepa swali bora umejibu the donMa legends tu ndiyo tutaelewa. Kuna kidole kimoja hapo hakina kucha.....[emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona queen alishajibu jamaniHahahahaa king na queen wamekwepa swali bora umejibu the don