Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Staa huyo aliyefunga mabao 16 katika mechi 27 alizoichezea Inter Milan chini ya Kocha Antonio Conte thamani yake sokoni ni Pauni 72 milioni. Kiwango cha Lautano kimemkosha hadi Kocha wa Juventus, Maurizio Sarri, aliyemtaja kuwa ni mchezaji bora.
 
Kwa sasa fowadi huyo Mwingereza, 22, ni majeruhi, lakini ameweza kubaki kwenye thamani yake licha ya kukosekana uwanjani kwa muda mrefu. Anayefuatia baada ya hapo ni staa anayesakwa na Man United na Chelsea, Timo Werner, 23, ambaye amekuwa bora kwa kufunga mabao 25 katika mechi 28 alizocheza msimu huu.
 
Thamani ya Timo huko sokoni kwa sasa ni Pauni 67.5 milioni. Mjerumani huyo amekuwa akihusishwa na mpango wa kuhamia kwenye Ligi Kuu England na hilo likitokea basi anatajwa kwamba ataondoka RB Leipzig kwa ada isiyopungua Pauni 68 milioni.
 
Fowadi wa Manchester City, Mbrazili Gabriel Jesus, 22, akikamilisha tano bora kwenye wachezaji makinda wenye thamani kubwa sokoni, akiwa na thamani ya Pauni 63 milioni, nafasi moja juu ya straika wa Chelsea, Tammy Abraham, mwenye thamani ya Pauni 45 milioni.
 
Max Gomez wa Valencia, anashika namba nane akiwa na thamani ya Pauni 36 milioni huku Luka Jovic wa Real Madrid akiwa na thamani hiyo ya Pauni 36 milioni huko sokoni na anayekamilisha namba 10 ni Moussa Dembele, mwenye thamani kama ya Gomez na Jovic, Pauni 36 milioni.
 
Vijana waliokulia nyumbani waliofanikiwa kuingia kwenye orodha hiyo ya mastaa 50 ni Dominic Calvert-Lewin wa Everton mwenye thamani ya Pauni 19.8 milioni na Mason Greenwood wa Man Unnited mwenye thamani ya Pauni 18 milioni.
 
Kirusi cha Corona....
464130542_467538.jpeg
 
Back
Top Bottom