Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hii kali kuliko mafuta ya Mwamposa😀😀😀😀
Watu wanapiga pesa sana we acha tu. Hapa wakinunua watu 100 tu tayari $50,000 ya bureee...Hii kali kuliko mafuta ya Mwamposa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Daah ama kweli woga wako ndio umaskini wako Wapendwa na mimi nina ombea nipo hapa vingunguti 😀😀😀Watu wanapiga pesa sana we acha tu. Hapa wakinunua watu 100 tu tayari $50,000 ya bureee...
Jifunze kusoma visomo mpendwa upige hela [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Daah ama kweli woga wako ndio umaskini wako Wapendwa na mimi nina ombea nipo hapa vingunguti [emoji3][emoji3][emoji3]
We mwenyewe umekomenti kiuoga sana. Unaogopa kurogwa?Haka ka uzi kana ukweli ndani yake ila wengi wanaogopa kaugomvi basi wanakoment kiuoga uoga
![]()
Jamaa huyu anaboa sana umu JF. Jiwe gizani, sema yalaaaa...limekupata
Aiseee Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
[emoji16][emoji16][emoji16] ni kweliHaka ka uzi kana ukweli ndani yake ila wengi wanaogopa kaugomvi basi wanakoment kiuoga uoga
![]()
Jamaa huyu anaboa sana umu JF. Jiwe gizani, sema yalaaaa...limekupata
Aiseee Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
jeshi la mtu mmoja kuonyesha siogopi mtu nimegonga kwa mleta mada like tangu post zikiwa chache. Sema tu sina cha kufunguka kwenye tuhuma za mleta mada. Anonymous halogwi kama hivyo kiranga angekua Keshalogwa zamaaniWe mwenyewe umekomenti kiuoga sana. Unaogopa kurogwa?
Visomo tayari nasubiri condoo wa bwanaJifunze kusoma visomo mpendwa upige hela [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Awkward situation
Jamaa gani anayezungumziwa kwenye mada.jeshi la mtu mmoja kuonyesha siogopi mtu nimegonga kwa mleta mada like tangu post zikiwa chache. Sema tu sina cha kufunguka kwenye tuhuma za mleta mada. Anonymous halogwi kama hivyo kiranga angekua Keshalogwa zamaani
Umeona hilo swali [emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125]Awkward situation