Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi tulishawahi kupishana kwenye comments akanianzishia uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie kuna watu walivamia uzi wangu kuwajibu kidogo wakaleta ugomvi basi jamaa sijui kafurahishwa na yale majibu ya jamaa akaanza like comment zao nikasema chiiii.
 
Back
Top Bottom