myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Atuambie na Trump atashinda muhula ujao....
Atuambie na Trump atashinda muhula ujao....
Inategemea katoa mtazamo wake kwa lengo lipi kati ya hayo mawili niliyoelezea, kama ni kusambaza knowledge tu kiroho safi sio mbaya ila kama ni kujionyeshea kwamba anajua aisee huwa inaboa sanaWanamuonea bwana.
Kwani akitoa mtazamo wake huu ya Jambo fulani Ni vibaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Trump atashinda tena ushindi wa kishindo kuliko wa mwanzo. Hawa Democrats hawa hakuna kitu hawa...Atuambie na Trump atashinda muhula ujao....
😂 😂 😂 😂Haka ka uzi kana ukweli ndani yake ila wengi wanaogopa kaugomvi basi wanakoment kiuoga uoga
![]()
Jamaa huyu anaboa sana umu JF. Jiwe gizani, sema yalaaaa...limekupata
Aiseee Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
Inategemea katoa mtazamo wake kwa lengo lipi kati ya hayo mawili niliyoelezea, kama ni kusambaza knowledge tu kiroho safi sio mbaya ila kama ni kujionyeshea kwamba anajua aisee huwa inaboa sana
Kweli... wamechemka sana. Spika mama wa watu juzi kwenye mkutamo wa Trump nilimuonea huruma..anapiga makofi huku kanuna😂😂Trump atashinda tena ushindi wa kishindo kuliko wa mwanzo. Hawa Democrats hawa hakuna kitu hawa...
Wanasaikolojia wanasema tabia hii ya mtu kujifanya anajua kila kitu yawezekana ni ugonjwa wa akili...Amini Binti mpole hao MajiniAss kila sehemu wapo sema tu wanakua wanatofautiana malengo yao kwa jamii husika, wengine wanakua na lengo la kusambaza kile walicho kwa wenzao. Ila kuna hawa wengine sasa wazee wa maonesho wao hutaka kujionyesha kwamba wanajua mambo mengi kuliko wengine
Hahah! Alafu ata simjui labda ndio nianze kumfatilia sasa hivi, labda mtoa mada kamuelewa vibaya jamaaMimi naona huwa anaelimisha tu.
Hakuna sehemu aliyotoa mawazo ili aonekane anajua..halafu huku Jf Ni jukwaa huru kwa hiyo mtu Ana uhuru wa kuandika na kuchangia chochote
Wanamuonea
Siasa za upinzani zimegeuka uadui wa waziwazi tena personally mpaka watu wanauliza kama kweli hii ndiyo demokrasia ama la. Trump angekuwa na uwezo wa kuwafanya wapinzani wake wapotee angeweza sema tu kuna taasisi imara zinamzuia.Kweli... wamechemka sana. Spika mama wa watu juzi kwenye mkutamo wa Trump nilimuonea huruma..anapiga makofi huku kanuna[emoji23][emoji23]
Hata Mimi simjui vizuri.Hahah! Alafu ata simjui labda ndio nianze kumfatilia sasa hivi, labda mtoa mada kamuelewa vibaya jamaa
Hahah! Jamaa kamsema mgonjwa wa akili wadau wanasema anao wivuWanasaikolojia wanasema tabia hii ya mtu kujifanya anajua kila kitu yawezekana ni ugonjwa wa akili...
View attachment 1348649
Hahah! BroHapo ndiyo kileleni.
Wangapi mliowahi kufika kileleni?
Karibu Kilimanjaro
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1348654
Kirusi cha Corona....
View attachment 1348591
Mimi naona huwa anaelimisha tu.
Hakuna sehemu aliyotoa mawazo ili aonekane anajua..halafu huku Jf Ni jukwaa huru kwa hiyo mtu Ana uhuru wa kuandika na kuchangia chochote
Wanamuonea