Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1575105045905.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amini Binti mpole hao MajiniAss kila sehemu wapo sema tu wanakua wanatofautiana malengo yao kwa jamii husika, wengine wanakua na lengo la kusambaza kile walicho kwa wenzao. Ila kuna hawa wengine sasa wazee wa maonesho wao hutaka kujionyesha kwamba wanajua mambo mengi kuliko wengine
Kweli kabisa ila hilo jina kiboko eti majiniAss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanamuonea bwana.
Kwani akitoa mtazamo wake huu ya Jambo fulani Ni vibaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuseme ule ukweli ambao mleta mada hajauongelea. Kuna hii tabia ambayo bibie mmoja alimkosoa sijui baada ya hapo kama urafiki uliendelea. Ana tabia ukianzisha uzi either atakuja kujibu kwa kuweka link ya uzi wake ambayo haufanani sana na wa mleta mada(hapa anakosea maana badala ya wachangiaji kuchangia uzi husika wanahamia kwenye link ya uzi wake)
Tabia ya pili,ukianzisha uzi ukanoga akaja changia kidogo tu atasema ataeleza kwa upana kwenye uzi wake atakaouanzisha badala ya huo(hio inaua uzi husika wadau wanabaki kusubiria uzi wake)

Huyo bibie alianzisha uzi,jamaa akaleta link yake hapo,sasa mwenye uzi alikua anahitaji mawazo mbali mbali akaomba link hio ifutwe itahamisha mjadala
 
Back
Top Bottom