Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana, binadamu sio watu wazuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie kuna watu walivamia uzi wangu kuwajibu kidogo wakaleta ugomvi basi jamaa sijui kafurahishwa na yale majibu ya jamaa akaanza like comment zao nikasema chiiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Povu analotema sasa. Hata jangwa lote la Sahara linalowa aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anavyojishtukia sasa utadhani kaambiwa ana domo kama kipimio cha njegere
 
Duh...
Nimesoma comment yake,Kuna mtu akakoment anamwambia eti we jamaa kwa magazeti,nahisi walimu wako walipata shida kusahisha essay zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anavyojishtukia sasa utadhani kaambiwa ana domo kama kipimio cha njegere
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amini Binti mpole hao MajiniAss kila sehemu wapo sema tu wanakua wanatofautiana malengo yao kwa jamii husika, wengine wanakua na lengo la kusambaza kile walicho kwa wenzao. Ila kuna hawa wengine sasa wazee wa maonesho wao hutaka kujionyesha kwamba wanajua mambo mengi kuliko wengine
 
Wanamuonea bwana.
Kwani akitoa mtazamo wake huu ya Jambo fulani Ni vibaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom