Fowadi wa Manchester City, Mbrazili Gabriel Jesus, 22, akikamilisha tano bora kwenye wachezaji makinda wenye thamani kubwa sokoni, akiwa na thamani ya Pauni 63 milioni, nafasi moja juu ya straika wa Chelsea, Tammy Abraham, mwenye thamani ya Pauni 45 milioni.