Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ofisini tena.. yaani Wakala unaweka tangazo halafu hujui kuelezea safari yenyewe 😁😁
Inabidi uelezee kidogo ili tuvutiwe kuja
ofisini
 
Kufikshwa kilele cha Kibo.
Unatakiwa ule, ushibe, kula vyakula vya protini kwa wingi.
Kisha tuonane uelekezwe taratibu nyingine za kufikishwa vilele vya juu kuliko vyote barani Afeika
Ofisini tena.. yaani Wakala unaweka tangazo halafu hujui kuelezea safari yenyewe [emoji16][emoji16]
Inabidi uelezee kidogo ili tuvutiwe kuja
ofisini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jukwaa gani nikaone ubuyu mie
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wangewakamata kwanza hao warmini walionunua..
Maana hao ndiyo mataahira namba moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiseme hivyo. Haya mambo ni magumu sana. Wafuasi wengi wa hizi cults ni wasomi na wengi wanaielewa Biblia vizuri sana. Hata wewe siku moja waweza kujikuta umetumbukia kwa hawa watu husikii huambiliki uko tayari hata kutengana na familia na marafiki ukiamini kabisa kabisa kuwa wewe ndiyo upo katika njia sahihi na wengine wote wamepotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…