Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Son has scored 5 goals against Guardiola’s Man City. Only Vardy has scored more(6 goals)
1581014738786.png
 
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Umeona ee ndo hali ilivyo aiseee
 
Heee jamani kuna mtu kakopy post yangu humu kaenda anzishia uzi huko aiseeeee

Lilikuwa pigo kubwa kwa Manchester United. Nilikuwa na miaka 13....
nataka niamini lakini wakati huo huo nataka nipingane na huo umri.....
kwa nini naamini?
nakumbuka kuna comment fulani uliandika humu ndani, ulisema mwaka 1942 kama nitakuwa nipo sahihi mzazi wako wa kike alishuhudia tukio la njaa iliosababishwa na uvamizi wa nzige.

kwa nini nakataa?
siamini kama unagonga miaka 70 kwa huu uandishi wako uliojaa ujana wa miaka 40
 
Bro bana hata mie siamini huo uhenga wake
 
Back
Top Bottom