Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😂😂😂 nimesoma comment zote lakini kuna comment zipo kwenye uzi wa likes zilitakiwa ziwepi kwenye huu uzi
Tulikua tunataka sehemu tulivu ya kutoa maoni bila kutukanwa,si umeona mleta mada kaitwa kila aina ya majina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nizame Kwenye kununua tiketi za mbinguni?
Labda siku nikiwa kichaa
Usiseme hivyo. Haya mambo ni magumu sana. Wafuasi wengi wa hizi cults ni wasomi na wengi wanaielewa Biblia vizuri sana. Hata wewe siku moja waweza kujikuta umetumbukia kwa hawa watu husikii huambiliki uko tayari hata kutengana na familia na marafiki ukiamini kabisa kabisa kuwa wewe ndiyo upo katika njia sahihi na wengine wote wamepotoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nataka niamini lakini wakati huo huo nataka nipingane na huo umri.....
kwa nini naamini?
nakumbuka kuna comment fulani uliandika humu ndani, ulisema mwaka 1942 kama nitakuwa nipo sahihi mzazi wako wa kike alishuhudia tukio la njaa iliosababishwa na uvamizi wa nzige.

kwa nini nakataa?
siamini kama unagonga miaka 70 kwa huu uandishi wako uliojaa ujana wa miaka 40
Huyu andatwenti tu,wala usiumize kichwa[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nizame Kwenye kununua tiketi za mbinguni?
Labda siku nikiwa kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yako uko kabishi naturally. Yaani hata husomi na kuelewa logic ya comment ya mtu.

Nina likitabu hapa linaitwa Kingdom of the Cults. Waandishi wamechambua cults zote kubwa kubwa. Nilichofanya hapo juu ni kutoa tu mojawapo ya majumuisho yao makuu kuhusu elimu na welewa wa maandiko wa wafuasi wengi wa cults hizi.

Brainwashing ni mbaya na ikifanyika vizuri inaweza kumkumba ye yote. Usije kushangaa hata sasa ukajikuta umo kwenye cult ya ulokole japo hujui [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom