Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza
Wana JF, Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma. Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake. Ushauri na Maoni yaliyotolewa na wadau ULEVI...