Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu Dota ofu Godi ni aina spesheli ya Mwakaleli. Orijino yeye ni mcheshi tu japo pia ukimuingia vibaya ukamkuta hajakaa sawa waweza kujikuta unakula za uso tena zisizoeleweka mpaka ukajikuta unashangaa.Mwakaleli orijino mshauri ajiunge huku tufaidi ubishi wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]