Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha, zamani nadhani 5yrs a go, niliwahi kuona akimtisha mdada furani aliyejaribu kumtokea.
Yule dada alimkatalia likini jamaa alimchimbia mikwara kiasi bi dada akaja hadharani kutangaza[emoji23][emoji23]
Tangu hapo nilianza kumjua huyo jamaa
Kuna jamaa mmoja kasema eti jamaa uzi anakuvurugia kwa kukujazia link zake, demu wako anakuchapia na ukizubaa anakushusha busha [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro naona uko busy na shemeji yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini salama bro.
Ila nadhani mfilisiti amekupa ruhusa kumliwaza kwa stori shemeji yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hongera sana kama ni kweli.

Mungu awalinde na kila hatua ya ukuaje iende vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro naona uko busy na shemeji yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini salama bro.
Ila nadhani mfilisiti amekupa ruhusa kumliwaza kwa stori shemeji yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 huyu Bradha itakua anataka vita na mimi
 
IMG_20200204_231159.jpg
 
Back
Top Bottom