moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kuna jamaa mmoja kasema eti jamaa uzi anakuvurugia kwa kukujazia link zake, demu wako anakuchapia na ukizubaa anakushusha busha [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani alishawahi lazimisha watu wakachangie nyuzi zake?
Si watu wenyewe wanaenda!!.Sasa kosa lake liko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie kamanda....
Naamini hakuna anayenizidi umri katika uzi huu. Period !!!
Hivi wewe moud alikufanyia Nini?.alikuboa wapi?
Au na wewe umeamua tu kuunga mkono maoni ya watu kwa kufwata upepo tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kama ni kweli.
Mungu awalinde na kila hatua ya ukuaje iende vizuri.
Weweee!
Umtoe kwenye ubishi wakati ndo umefika kwenye korasi. Thubutuuu!!!
I am with you. Case closed bro.
Uzi ulichangamka sana...
I hope hakuna aliyekwazika...
Kama yupo asamehe....
Usiku mwema wapendwa. Kesho tena Mungu Akipenda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Niliwahi kuona mabiahano furani nadhani ilikuwa kati ya 2014 au 2015 sikumbuki vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 huyu Bradha itakua anataka vita na mimiBro naona uko busy na shemeji yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini salama bro.
Ila nadhani mfilisiti amekupa ruhusa kumliwaza kwa stori shemeji yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app