myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Salam kwenu,,,
Mungu atupe siku njema na yenye baraka...
Aisee ona alivyokuwa HB [emoji7][emoji7].Huyo hapo chini anaitwa Sir Bobby Charlton alinusulika kwenye hiyo ajaliAlivyo sasa na alivyokuwa zamaniView attachment 1348878View attachment 1348879
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuwa na ushuhuda mzuriBobby Charlton na Bill Foulkes
Hawa ni wachezaji wawili wa Man united walionusulika kwenye ajali ya ndege ya feb 6 1958View attachment 1348895View attachment 1348896
Unacheka?Teh teh teh[emoji23][emoji23]
Hahah! Sio kosaLakini kwa muda niliokuwepo humu kwa kweli sijaona Kama ana tatizo.
Sijui lakini,tunatofautiana mitazamo.
Yule Ni mtu anayependa kujichanganya majukwaa mengi... Sasa kuchangia kila jukwaa Ni kosa??
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂
Huko mbali bro mimi nilibahatika tu hapo Wazo Tegeta 😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787]bro ulishafika kilele cha Kibo au Mawenzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe huyu binti wa Mungu ni Anne?Mwakaleli orijino mshauri ajiunge huku tufaidi ubishi wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Stella Mwakaparachichi