Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Hao miamba wa hispania wanashangaza sana. Mmoja akipigwa na mwenzie anapigwa,akitoka droo na mwenzie droo. Huu ulikua wakati mzuri wa Messi kuitawala la liga hasa kipindi hiki madrid haina straika mkali. Ila barca kachapwa 1 na athletic
True, ukiangalia idadi ya games walizopoteza points wote sasa hivi inatia huruma.
Nadhani kwa kipindi kirefu tutaona mshindi wa La Liga akiwa na points chache zaidi