Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro naona uko busy na shemeji yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini salama bro.
Ila nadhani mfilisiti amekupa ruhusa kumliwaza kwa stori shemeji yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dada yangu huyo, usimchanganye na mashemeji.
 
Nasikia bradha Ni mpare.
Nisije kufa njaa mie[emoji1787][emoji1787].

Kuna mpare mmoja hapa jirani huwa usiku anakula ubuyu,anashushia na maji kukwepa gharama kubwa za chakula.[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaha, haya bana🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Lakini, kwa Man United haitakuwa na shida kulipa kiasi chochote cha pesa ambacho Aston Villa itakitaka, huku ikielezwa staa huyo atauzwa kwa ada isiyopungua Pauni 60 milioni, lakini hilo litatokea kama tu itafuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
Di Maria amemshutumu kocha wa Man United wa wakati huo, Louis van Gaal kwamba alikuwa akimchezesha kwenye nafasi ambayo hakuwa akiimudu vyema. Kwa sasa akitamba huko Ufaransa, Di Maria alisema sambamba na hilo, alilazimishwa pia kuvaa jezi namba 7, yenye historia kubwa kwenye klabu hiyo.
 
Back
Top Bottom