Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nilipowasili niliona jezi namba 11 haikuwa na mtu. Hiyo ilikuwa ni namba niliyoivaa mara nyingi sana tangu nilipokuwa mdogo, hivyo nilihitaji kuendelea kuivaa.
uwezo wa kumtafutia maparachichi kila siku upo ila sharti atoe fedha yake mfukoni japo nusu (chakula ale yeye peke yake then hela nitoe mimi)ha ha ha kwa ndugu yangu Daemusin utakula kila kitu japo sina uhakika kama ataleta parachichi kila siku
teh teh kweli siendani na mtoto wa Mungu.Hawa wapemba huwa hawali ugali.
Mimi Bila kula ugali na wali Mara kwa Mara naona Kama Kuna kitu nakosa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]teh teh kweli siendani na mtoto wa Mungu.
kidogo anapenda wali.
- anapenda sembe
- anapenda maparachichi
- anapenda liverpool
afadhali unatoka zako safarini unarudi home unakutana na upendo kama huu, kuna fala fulani akipika sembe kitoleo chake ni sukari na bamia
View attachment 1349238
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uwezo wa kumtafutia maparachichi kila siku upo ila sharti atoe fedha yake mfukoni japo nusu (chakula ale yeye peke yake then hela nitoe mimi)
hapana hapana
sina degree hiyo labda babu yetu myoyambendi amejaaliwa sifa hiyo
kila siku itakuwa michosho labda iwe ni mke na mume.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo nikila pekeyangu huwezi toa hela yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano Mimi Ni mkeo,kila siku itakuwa michosho labda iwe ni mke na mume.
imagine iwe kila siku unampa offer moudgulf ya kuangalia mechi za liverpool pale anfield
teh teh
Ni dada yangu huyo, usimchanganye na mashemeji.
Ah! Mimi nakujua wewe vizuri tu ulishawahi kunitishia amani adi mimi, sasa kuwa makini watu wengine sio wa peace and love [emoji28]
Licha ya madhaifu yake mengi,bado ni mwalimu mzuri Sana wa Neno la MUNGU