Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nasikia Barca wamejitoa kwa sababu wameona Madrid katoka.
Hao miamba wa hispania wanashangaza sana. Mmoja akipigwa na mwenzie anapigwa,akitoka droo na mwenzie droo. Huu ulikua wakati mzuri wa Messi kuitawala la liga hasa kipindi hiki madrid haina straika mkali. Ila barca kachapwa 1 na athletic
 
Leo nimeupitia ule Uzi.
Kafanya kuongezea tu title ya Uzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kaibandika ile comment yako Kama ilivyo,Bora hata angekuacknowlege
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio stella ni yule mwizi wa post

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimeupitia ule Uzi.
Kafanya kuongezea tu title ya Uzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kaibandika ile comment yako Kama ilivyo,Bora hata angekuacknowlege

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…