moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mungu wangu[emoji24]Inyala Mbeya, leo AsubuhiView attachment 1349266
itafika nyakati nitachukia kwa sababu ndivyo binadamu tulivyo...
Enzi zake na sasaBobby Charlton.
Man United View attachment 1349277
Pendeza sana
Duh! sisi bado sanaDiwani wa Chadema kata ya Isyesye,
Jijini Mbeya.
Acharazwa mapanga na watu wasiojulikanaView attachment 1349270
Parachichi Ni zuri kwa afyaitafika nyakati nitachukia kwa sababu ndivyo binadamu tulivyo...
huyu wife anakula maparachichi kila siku kama mbuzi na majani
agree
kwa siku unakula mangapi?
Mawili tu yanatosha..kwa siku unakula mangapi?
nilifikiri unakula ndoo nzima ndio maana nikawa na khofuMawili tu yanatosha..
Hata yakiwa Zaidi ya hapo hapo si mbaya[emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilifikiri unakula ndoo nzima ndio maana nikawa na khofu
Parachichi lipi?.....