Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.23864169906280704E18.jpeg
 
kuanzia gharama za mavazi
gharama za viatu
gharama za mikoba
gharama za mapambo (herini, bangili, saa, kipini, mkufu)
gharama za vipambio (makeup, perfume, powder, mafuta brand 10 kwa wakati mmoja)

ukija kwa mwanamme mhhhhhhhh!
mwanamke anaweza kuvaa kanzu tatu kwa mwaka mzima?
ila mwanamme anaweza kuvaa suruali tatu kwa mwaka mzima
Gharama za Mwanaume hujakamilisha hapo...
SYB hebu sema vitu unavyogharamia...
 
Gharama za Mwanaume hujakamilisha hapo...
SYB hebu sema vitu unavyogharamia...
hizo gharama za mwanamke zinawahusu tabaka zote (tajiri, masikini, anayependa kujipamba na asiyependa kujipamba)
nimetumia references kwa kuangalia zaidi ndugu zangu wa kike tuliozaliwa tumbo moja (familia yetu ni masikini tunaoishi kwa dolla 1)

mwanamke haijalishi ni masikini hawezi kuwa tayari kushindwa na mwenzake (yupo tayari kununua baibui na mavazi mengineo hata kwa laki moja, yupo tayari kununua simu ya gharama kwa sababu shoga yake anamiliki simu ya gharama)

kwa upande wa wanaume gharama zao zinachangiwa zaidi na kipato cha muhusika, sababu nyengine ni jinsi mwanaume anavyojiweka (kama ni mpenda vya gharama basi atagharamika ila kama si mpenzi haijalishi ana pesa kuliko marehemu mchaga basi hatopenda kujiweka matawi ya juu)
 
Back
Top Bottom