Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mtuwacheeee. Jizazi [emoji12][emoji12]
Wajinga hao kazi yao ni kujenga mahekalu ya ajabu, kuficha nje na kugawa Vitz, Harrier na Rav4 kwa mademu zao....Matanuzi... matanuzi...
Mtuwacheeee. Jizazi [emoji12][emoji12]
View attachment 1350967
Mnyaki ushafika...Ha ha ha ha ha haaaaa
Hebu toa kontakt zake hapa😂😂Wajinga hao kazi yao ni kujenga mahekalu ya ajabu, kuficha nje na kugawa Vitz, Harrier na Rav4 kwa mademu zao....
Kuna rafiki yangu alizipiga mwaka juzi $ milioni kama tatu hivi na ushee michepuko yake yote kwa sasa inasukuma Range Rover mpyaaa japo kijijini kwa mama yake hajapatengeneza.
Wanawake nyie mnatuponza sometimes....
Haha nipo,, zamu yenu wasukuma maana wanyaki tumetaniwa vya kutosha..Mnyaki ushafika...
Ukisikia Wasukuma tu hia yu a...
Kwema lakini?
Huyu baharia vipi tena?
View attachment 1350974
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Sitaki uende ukajiunganishe kwenye gridi ya taifa bana. Na uandaeitini wako huo itakuwa hasara tupu. Bure ni ghali ati !Hebu toa kontakt zake hapa[emoji23][emoji23]
Iko namna aisee...Itakuwa mabaharia wameshambaharia nae
Daemusin Haya huyu mvaaji kanzu 3 mwaka mzima huyu... anatofautiana na mwanamke kwy matumizi kweli? nguo dizaina , viatu dizaina, saa, jewels, hapo ataendesha gari kubwaaa, nyumba atakazojenga au kupanga!! Hapo bado Yatch trips, Dubai trips etc...Huyu baharia vipi tena?
View attachment 1350974
Iko namna aisee...
Wanasema ana hela balaa na yawezekana haya ni masharti ya mganga. Waswahili utawaweza?
View attachment 1350985
Kumbeeee lazma auvae...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Sitaki uende ukajiunganishe kwenye gridi ya taifa bana. Na uandaeitini wako huo itakuwa hasara tupu. Bure ni ghali ati !