Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.23917616048972365E18.jpeg
 
[/QUOT
Wajinga hao kazi yao ni kujenga mahekalu ya ajabu, kuficha nje na kugawa Vitz, Harrier na Rav4 kwa mademu zao....

Kuna rafiki yangu alizipiga mwaka juzi $ milioni kama tatu hivi na ushee michepuko yake yote kwa sasa inasukuma Range Rover mpyaaa japo kijijini kwa mama yake hajapatengeneza.

Wanawake nyie mnatuponza sometimes....
muheshimiwa spika mstaafu alikuwa anapenda kujenga vijumba vizuri mpaka mtaa ukabadilishwa jina.

nishushe kwa kifichoooo.
madaraka ya kulevya.

nafasi yake imerithiwa na balozi seif ali iddi
 
Back
Top Bottom