Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukituma maombi akiwa yuko online nadhani. Mimi nilituma maombi mwezi wa tano sikujibiwa hadi mwezi wa kumi na mbili ndio kuja kuniuliza eti bado wataka? Ingawa nilikuwa nimeshaahirisha nikasema ndio, akanibadilishia hapohapo. Jana ndio nimetuma ndani ya dk tano akabadilisha
Mimi Melo alinibadilishia ndani ya dk hata 5 hazikufika.
Nadhani inategemea na siku..siku akiwa free basi anashughulikia kwa haraka.
Siku akiwa busy anachelewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukituma maombi akiwa yuko online nadhani. Mimi nilituma maombi mwezi wa tano sikujibiwa hadi mwezi wa kumi na mbili ndio kuja kuniuliza eti bado wataka? Ingawa nilikuwa nimeshaahirisha nikasema ndio, akanibadilishia hapohapo. Jana ndio nimetuma ndani ya dk tano akabadilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi wa 5?[emoji134]

Duh! Wangeweka tu option mtu abadili mwenyewe jina lake...
Wanaogopa watu watajichanganya au nini?
 
Kumbuka ulichopata toka kwenye hiyo bidhaa [emoji23][emoji23]
FB_IMG_1581159364089.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu anasema eti rafiki yake ndio anahonga Range Rovers...
Ukute ni yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sema tu "The Don" kama unagawaga Land Rovers, BMWs, Audis na trip za five star hotels Dubai...
The Don himuselfu!
[emoji16][emoji16][emoji16] mwongo huyo, ye ndio mgawaji halafu anamsingizia rafiki yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom