Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Gharama za Mwanaume hujakamilisha hapo...
SYB hebu sema vitu unavyogharamia...
 
Gharama za Mwanaume hujakamilisha hapo...
SYB hebu sema vitu unavyogharamia...
hizo gharama za mwanamke zinawahusu tabaka zote (tajiri, masikini, anayependa kujipamba na asiyependa kujipamba)
nimetumia references kwa kuangalia zaidi ndugu zangu wa kike tuliozaliwa tumbo moja (familia yetu ni masikini tunaoishi kwa dolla 1)

mwanamke haijalishi ni masikini hawezi kuwa tayari kushindwa na mwenzake (yupo tayari kununua baibui na mavazi mengineo hata kwa laki moja, yupo tayari kununua simu ya gharama kwa sababu shoga yake anamiliki simu ya gharama)

kwa upande wa wanaume gharama zao zinachangiwa zaidi na kipato cha muhusika, sababu nyengine ni jinsi mwanaume anavyojiweka (kama ni mpenda vya gharama basi atagharamika ila kama si mpenzi haijalishi ana pesa kuliko marehemu mchaga basi hatopenda kujiweka matawi ya juu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…