D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
AiseeTAFITI | Kwa wapenzi/wanandoa wanaotafuta watoto wanatakiwa kushiriki tendo la ndoa kila baada ya Siku 2 had 3
Ukishiriki kila siku hutapata mbegu za kiume za kutosha na bora
Ukiruka zaidi ya siku 3 unaweza kosa kipindi ambacho mwanamke yupo tayari kupokea ujauzito
AiseeMessi alichukia na kuamua kwenda kumjibu Abidal kwenye mitandao ya kijamii na baada ya timu yao kuchapwa na Athletic Bilbao 1-0 na kutupwa nje ya Copa del Rey, Alba naye ameonekana kuungana na Messi kumshambulia Abidal.