Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Man City inakabiliwa na kibarua cha kuchuana na Real Madrid katika mtoano wa hatua ya 16 bora kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa msimu huu.
Safi hiyoo
Duh!!Kuna shida moja ya afya ni adimu sana inaitwa "AUTO BREWERY SYNDROME" yaani wadudu walio utumbo hasa fangasi na bakteria wanatengeneza pombe kupitia chakula ulichokula hasa wanga.
Imagine traffic wa bongo kakukamata anasema umekunywa; unamwambia hujanywa, ukipima Breath alcohol test inasoma