D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
[emoji23][emoji23]
Salama bro, uzima upo na Mungu anasaidia.
Ha ha mtekaji kanionea huruma[emoji2][emoji2]
Hapana bro,nataka niitumie sehemu nyingine tu sio kumdukua mwanamke,
Najijua sina kifua hicho cha kustahimili bro
Yaan mimi hata niwe nmetulia tu hv halaf nijikute nmeshika simu ya mwanamke, ghafra sms iingie, mapigo ya moyo yanachange[emoji2][emoji2]
Sasa hilo la kuweka spy app siwezi hata kulijarbu bro!!
Duuuh hio mimba ipo fastaMimba ya Mfilisti inakuchanganya. Na hapo bado miezi miwili tu. Kazi unayo dadeki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ameanza kuchagua baadhi ya vyakula [emoji2][emoji2][emoji2]
mimba ya pakaDuuuh hio mimba ipo fasta
Mimba ya Mfilisti inakuchanganya. Na hapo bado miezi miwili tu. Kazi unayo dadeki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hii redio kabla sijazaliwa mzee alikuwa nayo..hasa Sasa ipo.
Pasi ya mkaa ipo pia hutumika kipindi hakuna umeme ,mafundi cherehani Kama Mimi hii Ni ya muhimu Sana.
Mpira wa makaratasi ya Rambo kwa ajili ya rede na gutua(watu wa mbeya mnanielewa)
Kibatari taa yetu
Wahenga sisiView attachment 1354363
Sent using Jamii Forums mobile app
Owk sawa bro..Hapo sawa. Usiweke spy app kama kifua huna kama mimi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hiyo app inauzwa na sina uhakika kama inafanya kazi sawasawa. Yawezekana ikawa ni utapeli tu.
Tumshukuru Mungu bro kwa yote. Kama anavyosemaga Mfalme aka Bae wetu wa uzi: Muda ukipatikana tunakutana hapa [emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi una mambo sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimba ya paka
Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi una mambo sana
Aisemimba ya paka
Jirani hajaiona hii kweli [emoji23][emoji23][emoji23]Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] keshaona yupo anatunga ka msemoJirani hajaiona hii kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
mimba ya paka