myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Our own Trump...
hongera kwa kutokuwa mlevi..... nilikuwa napenda kusikiliza nyimbo za huyo handsome boy na sauti yake kama amekunywa kinywaji kizito@Daemusin wimbo wa kule ninaoujua ni huu tu
Baharia, mwache dadangu. Unataka kujua anakokaa ili iweje? [emoji36][emoji36][emoji36][emoji3] unaishi kikuyu
jamaa halazii zegee.... ukizingua anakupa kichambo hadharaniOur own Trump...
Baharia, mwache dadangu. Unataka kujua anakokaa ili iweje? [emoji36][emoji36][emoji36]
Hapo sawa. Kwa sababu sina uhakika hata kama una ng'ombe wa kutosha. Mabaharia nyie kazi yenu kuvuruga tu halafu mnasepa...[emoji3][emoji3] hamna bro nmepakumbuka tu
Hapo sawa. Kwa sababu sina uhakika hata kama una ng'ombe wa kutosha. Mabaharia nyie kazi yenu kuvuruga tu halafu mnasepa...
Kaa mbali [emoji36][emoji36][emoji36]
55 bro. Majike 33 na madume 22. Ndama hapana !!!Kwani ni ng’ombe wangapi
Mimi drama yoyote nikimaliza na nyimbo nasahau hapohapo ila huo tu ndio umegoma kutoka kichwanihongera kwa kutokuwa mlevi..... nilikuwa napenda kusikiliza nyimbo za huyo handsome boy na sauti yake kama amekunywa kinywaji kizito
XIA junsuhata hii huikumbuki?
huoni pia ni neema kiupande wako.... wengine kila tunapoangalia drama tunahifadhi original sound track.Mimi drama yoyote nikimaliza na nyimbo nasahau hapohapo ila huo tu ndio umegoma kutoka kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app