moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Piga kazi tu..
Nawaza hakuna dawa ya kuwaondoa hao nzige
Kuna wadudu ambao wana sababisha korosho ziwe kama zimemwagiwa vumbi huwa wanapuliziwa dawa hawa hawawezi kupuliziwa hata kwa bomandia sio mbaya dawa ishuke kama matone ya mvuaUkisikia Nzige, basi jua hilo ni janga.
Tena janga kweli kweli.
Vipi mzima huko uliko
Asante sana bro, na kwako piaKwema bro.
Uwe na siku njema.
Ni janga kubwa mno...Ukisikia Nzige, basi jua hilo ni janga.
Tena janga kweli kweli.
Vipi mzima huko uliko
Hayo ni mawe gani?Picha za CT-ndio njia yenye matokeo sahihi zaidi yanayoonyesha mawe ya viwango/ ukubwa wake na huonyesha iwapo njia imeziba.
Google utayaonaHayo ni mawe gani?