Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tangazo limeandaliwa na mlevi....
no romantic, no mbembelezo...

karne hii ya 21 unaandika tangazo huku unaanza na neno Familia.....

huko shule ulienda kusomea ujinga
 
Pongezi kwenu wapendanao
 
Malist kama hayo huwa ngumu kukubaliana nayo moja kwa moja bro maana kila mtu anakua na mapenzi yake binafsi, ila hapo cha msingi ni kuangalia tu hiyo Top 3 na ninaona imekaa sawa kabisa hakuna longo longo. Pia kwa mapenzi yangu ningefurahi sana Remy Ma na Cardi B wangeingia Top 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…