Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante sana kamanda kwa kuleta ushuhuda huu
 
Wanawake wote mje mjionee ushuhuda huu.
Mkiambiwa ndoa za mitala mnalalamika sana, sababu ni hiyo hapo [emoji116][emoji116][emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tangu kipindi kile cha 2017 nimekuacha humu bado umo unatafta likes

Sent using Jamii Forums mobile app
hatafuti likes bali undugu uliojengeka humu ndio chanzo cha huyo jogoo wa anfield kuendelea kubaki humu.
  1. ana mdogo wake anaitwa myoyambendi , ikifika saa 8 wanapeana code za kwenda kula
  2. ana mdogo wake anaitwa Numbisa , akipika maharage anachanganya samaki satooo
  3. ana mdogo wake anaitwa Daemusin , linajifanya janadume kumbe ni keee(siri imefichuka)
  4. ana kaka yake anaitwa SHIMBA YA BUYENZE , ana uwezo wa kukaa mwezi mzima bila ya kuingia humu ndani lakini akirudi stori zote anazo...... thisi maniii issss serverrrr
  5. ana mdogo wake anaitwa Davet , huyo bwege ni mtoto wa geti kali (mbwa mzito amewekewa mlangoni)
  6. ana mdogo wake kutoka mbeya.... ebwana weee ana kichambo kuliko bi hindu wa simbaaa
 
Namba 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…