D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
inawezekana ukiangalia muandiko wake... kila siku comment zake ndio zile zile...Imani yangu inaniaminisha kuwa myoyambendi ni mmoja wa wahenga ambao umri wao umesogea kiasi
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππhatafuti likes bali undugu uliojengeka humu ndio chanzo cha huyo jogoo wa anfield kuendelea kubaki humu.
- ana mdogo wake anaitwa myoyambendi , ikifika saa 8 wanapeana code za kwenda kula
- ana mdogo wake anaitwa Numbisa , akipika maharage anachanganya samaki satooo
- ana mdogo wake anaitwa Daemusin , linajifanya janadume kumbe ni keee(siri imefichuka)
- ana kaka yake anaitwa SHIMBA YA BUYENZE , ana uwezo wa kukaa mwezi mzima bila ya kuingia humu ndani lakini akirudi stori zote anazo...... thisi maniii issss serverrrr
- ana mdogo wake anaitwa Davet , huyo bwege ni mtoto wa geti kali (mbwa mzito amewekewa mlangoni)
- ana mdogo wake kutoka mbeya.... ebwana weee ana kichambo kuliko bi hindu wa simbaaa
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£hatafuti likes bali undugu uliojengeka humu ndio chanzo cha huyo jogoo wa anfield kuendelea kubaki humu.
- ana mdogo wake anaitwa myoyambendi , ikifika saa 8 wanapeana code za kwenda kula
- ana mdogo wake anaitwa Numbisa , akipika maharage anachanganya samaki satooo
- ana mdogo wake anaitwa Daemusin , linajifanya janadume kumbe ni keee(siri imefichuka)
- ana kaka yake anaitwa SHIMBA YA BUYENZE , ana uwezo wa kukaa mwezi mzima bila ya kuingia humu ndani lakini akirudi stori zote anazo...... thisi maniii issss serverrrr
- ana mdogo wake anaitwa Davet , huyo bwege ni mtoto wa geti kali (mbwa mzito amewekewa mlangoni)
- ana mdogo wake kutoka mbeya.... ebwana weee ana kichambo kuliko bi hindu wa simbaaa
hata nguvu ya kujibu sina.... umenivuruga kwa mara ya kwanza..π π π π π ....Baby diapers bado sana.
Labda useme mafuta ya nazi kwa ajili ya kukanda mwili.
inawezekana ukiangalia muandiko wake... kila siku comment zake ndio zile zile...
itakuwa anatembea na daftari ili apunguze kusahau
list iendeleee?π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
ujumbe:
wanawake wapunguze kihere hereeee, wasiwe na wivu pindi wanapowaona wanaume wanatembea na speya tairi zaidi ya moja.
billion 4 kwa billioni 1....
Kama kuna zipu inakusumbua sema shemeji [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1356280
Iendeleze mzee maana ikiishia hapo utakua hujawatendea haki wakina Ningendako na genge lakelist iendeleee?
π π π π πinawezekana ukiangalia muandiko wake... kila siku comment zake ndio zile zile...
itakuwa anatembea na daftari ili apunguze kusahau
balaa amelianzisha Ayyanna ........Sijawahi tongoza mtandaoni bro.... Ila Hawachi anakushikia bango bure tu wewe ni msela kabisa
Ingekua maksi ningekupa 30/100inawezekana ukiangalia muandiko wake... kila siku comment zake ndio zile zile...
itakuwa anatembea na daftari ili apunguze kusahau
huo utafiti ni sahihi kabisaaa..[emoji23][emoji23] Wameingizwa chaka na Daemusin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hata alama D sipatiIngekua maksi ningekupa 30/100