D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Huyo mwamba mwenye uzi huwa nina mashaka nae sanaTetesi: - Mmakonde na Sarah wameachana
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba mmakonde na Sarah wamwagana ila mmakonde anaona aibu kukiri waziwazi kwa kuhofia kuchekwa na watu. Kwa kifupi mmakonde bila Sarah si lolote wala si chochote ukapuku umemjaa siku zote anavimba mjini kwa kutegemea kuhongwa na Sarah . Na bado...www.jamiiforums.com
usiyempenda kajaaa
Mimi ni mhenga..hilo nimeweka wazi. Mengine utajua nitakavyo mimi na si utafiti!hata alama D sipati
hahahaaaaaa
nitarudi tena kukufanyia utafiti
inawezekana ni mtu wa karibu sana na wasanii wa kibongoHuyo mwamba mwenye uzi uwa nina mashaka nae sana
swali la mtego:Mimi ni mhenga..hilo nimeweka wazi. Mengine utajua nitakavyo mimi na si utafiti!
Kipindi kile unavaa flana tu... 😂 😂 😂swali la mtego:
umeanza kupiga kura mwaka gani?
Yaani bro ulichoona ni hiyo namba 4 tu?Namba 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Wapunguze shobo [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani hata wanaume wote wakioa wanawake wawili wawili bado kuna watu watakosa waume...Wanawake wote mje mjionee ushuhuda huu.
Mkiambiwa ndoa za mitala mnalalamika sana, sababu ni hiyo hapo [emoji116][emoji116][emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini atakuwa Maalim
Huyu shemeji yangu eti amekataa yeye hawezi kuinama. Huyo wa kwako vipi? [emoji16][emoji16]Hahahahahah, hapa kuna shemeji yangu ameniomba nimkune mgongoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaaaaa jamaa hana mzuka na siasa ya muungano..Naamini atakuwa Maalim
Nimekuelewa bro...Malist kama hayo huwa ngumu kukubaliana nayo moja kwa moja bro maana kila mtu anakua na mapenzi yake binafsi, ila hapo cha msingi ni kuangalia tu hiyo Top 3 na ninaona imekaa sawa kabisa hakuna longo longo. Pia kwa mapenzi yangu ningefurahi sana Remy Ma na Cardi B wangeingia Top 10
Kuna tofauti kati ya shemale na hermaphrodite. Hermaphrodite kazaliwa hivyo (na kiungo kimoja ni dominant) lakini she male kala homoni za kike na hata kufanya operesheni ili kupata vionjo vya kike (mf. Matiti) japo ukimfunua chini si ajabu ukakuta mnara unasoma 5G....Akienda all the way na kujinyofoa sehemu za kiume na kupandikizwa za kike basi anakuwa transgender (tran)....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena ni Shemale yaani hermaphrodite