Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Mimi nilitoka nje kukojoa mvua imeninyeshea na usingizi umekata[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilitoka nje kukojoa mvua imeninyeshea na usingizi umekata[emoji85]
TunazisubiriaNa mimi pia. Hapa niko navizia memes kali kali kama Wakenya watazishusha [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mimi nilitoka nje kukojoa mvua imeninyeshea na usingizi umekata[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu asije akaninunulia haya made eti ananiletea, kama huna zawadi ya kunipa njoo tu mikono mitupu shwain
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mtu asije akaninunulia haya made eti ananiletea, kama huna zawadi ya kunipa njoo tu mikono mitupu shwain
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha nina mashaka nayo sanaHappy Valentine Wapendwa [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1356830
Za nini? Mweeeh ushamba huu na mimi nimekuwa msukuma leo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tatizo nini? Hupendi Roses?
Kwa nini?
Eeh mimi pia nilikuwa nahisi hivyoKwa nini?
Huyo ndiye The Don himuselfu enzi za ujana wake mwanzo wa miaka ya 70
Hivi ujinga utaacha lini?Happy valentine day![emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1356831
Bila ya kuquote comment yangu siku yako haijaenda vizuri?