myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😂 😂Kwa miaka 85 uwezo wa kuwasasambua konokono unakuwa bado upo?
Natetea nafsi yangu ...
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂Kwa miaka 85 uwezo wa kuwasasambua konokono unakuwa bado upo?
Natetea nafsi yangu ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulifika stand kuu ya Zamani na ukapanda daladala kwenda uyole au mwanjelwa Basi jua hapo umepita.. daladala zinapita hapoHapo sikufika
Kabwe mbeyaOnyesha na maeneo yetu pendwa.
Ya Isyesye, Iremi, Kabwe, Itua, nanenane, nk
Wanayanga tumeshasherekea wiki iliyopita pamoja Kwenye sikukuu ya miaka 43 ya chama Cha mapinduzi*Naomba Tuelewane Kidogo*
*VALENTINE Ni Kwa Ajiri Ya Mashabiki Wa SIMBA Nyie YANGA Subirini KAMPENI Za CCM Zianze..!*
[emoji23][emoji38][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila jua kuwa hapa ndipo mjini tukuyu stand[emoji3]Tukuyu kuzuri aisee. Nitafutie kakiwanja huko aisee nije nijenge kakibanda ka chumba kimoja niwe nakuja kupumzika. Napenda sana mazingira ya kijani kijani...
Safi sana...
Sawa nitakuambia asante
Tukuyu nilienda mwaka 1998, natamani niende tena natumaini ipo sikuIla jua kuwa hapa ndipo mjini tukuyu stand[emoji3]View attachment 1356896
Sent using Jamii Forums mobile app
98[emoji134]Tukuyu nilienda mwaka 1998, natamani niende tena natumaini ipo siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Kyela pia nitakuja, kuna mtu ananidai huko ila ye yuko Ipinda sio kyela mjini98[emoji134]
Mbona utakuwa ulishakusahau Sasa.
Karibu sana.
Ukija njoo Hadi kyela
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipinda siku hizi kumechangamka Sana..Kyela pia nitakuja, kuna mtu ananidai huko ila ye yuko Ipinda sio kyela mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh basi freshIpinda siku hizi kumechangamka Sana..
Siku hizi kuna barabara ya lami,dk chache tu unafika.
Sent using Jamii Forums mobile app